Wednesday, 13 May 2015

Upinzani Burundi Wawaonya Marais EAC


WAKATI marais wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakitarajiwa kukutana  Dar es Salaam leo kujadili mzozo wa  Burundi, wapinzani wa Rais Pierre Nkurunziza, wameapa kwa kusema kuwa ni lazima kiongozi huyo ang’atuke